"NILIPOGEUKA TU AKAKATA ROHO!" BABA MZAZI WA MWIGIZAJI FREDY, ATAJA KINACHOMUUMIZA KIFO CHA MWANAYE [f4ea31]

2025-07-20

Post Time: 2025-07-20

Error: No content files found.Baba wa marehemu mwigizaji Fredy Kiluswa, Nahum Kiluswa, ameiambia Mwananchi Digital kuwa kwa mara ya kwanza kijana wake alipata maradhi ya moyo akiwa safarini mwezi mmoja uliopita. Kiluswa amesema kuwa Novemba 16, 2024, marehemu alipozidiwa alikimbizwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili the original source na kuwekwa kwenye chumba cha uangalizi maalumu. “Hali yake ilikuwa mbaya, alikuwa akipumua kwa shida, huku presha yake ikiwa the original source juu na haikushuka kwa muda mrefu". Ameongeza kuwa marehemu hakuwa na historia ya magonjwa hayo hata alipokuwa mtoto. Fredy Kiluswa, aliyezaliwa mwaka 1992, ameacha mke na watoto wawili. Mwili wake utaagwa Jumanne, Novemba 19, 2024, katika viwanja vya Leaders Club kisha kuzikwa katika makaburi ya Kinondoni. Video na Khatibu Mgeja. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele informative post #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj
"NILIPOGEUKA TU AKAKATA ROHO!" BABA MZAZI WA MWIGIZAJI FREDY, ATAJA KINACHOMUUMIZA KIFO CHA MWANAYE [f4ea31]