Mb Data - Habibi (Official Video) [e85ac6]

2025-07-20

Post Time: 2025-07-20

Error: No content files found.Available on All Platforms: Audiomack: LYRICS ======= MASHALLAH we mzuri nasema Sawa kuishi nawe ni Raha// Toto we kama kipepeyo unabadili marangi nikipita kokote ulipo najiona mrangirangi// penzi a knockout post lime dondoka kama mnazi naomba usicukie ninatamani uninywe kama maji baby girl Niku riziye// nikubebe mbali darling usije uka nikimbia usi nawasi usi nashaka nikotayari kuku cumbia// unavio sema (aaaa)haswa unavio sema (hayaa)ukinitizama unaona aibu waca nikuite… CHORUS: Yahabibi yaaa yahabibi yaaa (nakupenda mama)yahabibi yaaaa Yaha bibi yaaa (usiniache mwari )yahabibi yaaa yahabibi yaaa (Nina kupenda)yahabibi yaa yahabibi yaa browse around these guys (wendo mwali) penzi letu nfano walimau kaniweke kwenye kacumbali ladha. yake inawasha kapilipili kwambali// penzi lime nifurukuta sijiwezi Huwa sinahali kuwanawewe nitabani iyeye// ushanga wakiuononi(mwari)bangili zamkononi (chekeca ) kisigino ukacora tatoo mauwa mengi yakunivutia disturi Mila zakidinii zimejawa ndanimwako tumuombe Allah atupe kuishi vema nawe// unavio sema (aaa)haswa unavio sema( haya)ukinitizama unaona aibu waca nikuite CHORUS: Yahabibi yaaa yahabibi yaaa (nakupenda mama)yahabibi yaaaa Yaha bibi yaaa (usiniache mwari )yahabibi yaaa yahabibi yaaa (Nina kupenda)yahabibi yaa yahabibi yaa here (wendo mwali)
Mb Data - Habibi (Official video)
Mb Data - Habibi (Official Video) [e85ac6]